Wakala Pere Guardiola ambaye ni mdogo wa Kocha wa Bayern Munich Pep
Guardiola ameziambia klabu za Real Madrid na Arsenal kuwa ofa ya paundi
milioni 40 itatosha kumtoa mshambuliaji huyo Liverpool .
Pere Guardiola amesema kuwa ana imani kuwa ofa ya paundi milioni 40
haitakutana na pingamizi lolote toka Liverpool na hivyo kufanya kazi ya
kumuuza mchezaji huyo (Suarez) kuwa nyepesi .
Klabu...