Manchester
United wametoa Ofa a Pauni 100,000 kumnunua Kinda wa Miaka 17
anaechezea Newport County, Beki Regan Poole, ambae Dili yake huenda
ikapanda na kufikia Pauni 400,000.Hivi sasa Kijana huyu yuko huko Man United akipimwa afya yak...
Wednesday, September 2, 2015


Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham
usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima. Licha ya kuwa amestaafu
bado mchango na uwezo wake aliyo uonyesha katika soka bado unatambulika
na kuheshimika.
Hizi ni picha za tukio lenyewe mtu wangu
Tuzo...


Klabu ya Manchester United imemsajili mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 kwa dau la pound milioni 36 akitokea klabu ya Monaco ya Ufaransa, Anthony Martial lakini mashabiki wamekuwa wakihoji kiwango hicho cha fedha kwa mchezaji huyo chipukizi, huenda ni kwa sababu hawa mfahamu.
Martial...
Subscribe to:
Posts (Atom)