Thursday, February 26, 2015

 Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Forward Formidable Enterprises (FFE) inayoandaa tamthilia mpya na ya kisasa ya “A boys mission” Johnson Lujwangana akifafanua jambo kuhusiana na tamthilia hiyo itakayoanza kurushwa kwenye vituo vya televisheni kuanzia mwezi septemba. Wengine katika picha kutoka kulia ni Jesca haule na Aisha bakari. Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni...
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata  keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha  Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya  siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi  watoto hao. Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha ...

waliotembelea blog