Sunday, September 7, 2014

Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar...
  Pamoja na idadi ya matukio mengi ya Majambazi Tanzania imekua ni nadra sana kusikia Majambazi wamevamia kituo cha Polisi na kusababisha mauaji ya askari pamoja na kuiba silaha. Kwa mujibu wa Radio One, hii imetokea kwenye mkoa mpya wa Geita katika kituo cha Polisi Bukombe ambapo Majambazi hawa walivamia na kuwauwa askari polisi wawili na wengine wawili kujeruhiwa na kisha kuiba ...

waliotembelea blog