Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu akionyesha waandishi wa
habari leo (hawapo pichani) kitabu cha maadili ya uchaguzi
kilichosainiwa na viongozi wa vyama vya siasa waliosimamisha wagombea
katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25.
Akizungumza
na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi
hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi...
Thursday, October 22, 2015



Afisa
Uhusiano na Matukio wa Airtel Bi Dangio Kaniki akizungumza na waandishi
wa habari (hawapo pichani) wakati Airtel ilipozindua smartifoni mpya
ijulikanayo kama Magnus Bravo Z10zitakazopatikata katika maduka yote ya
Airtel zikiwa zimeunganishwa na ofa ya Smartifonika kutoa muda wa
maongezi wa dakika 150, 150MB na SMS 150 kwa kipindi cha miezi sita....


Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani anayeichezea klabu ya Manchester United ya Uingereza Bastian Schweinsteiger
October 22 ameingia katika headlines baada ya mtengenezaji wa midoli wa
kichina kutengeneza mdoili unaofanana na yeye na kuita jina lake.
Mdoli huyo ambaye ametengenezwa kwa muonekano wa sura ya Bastian Schweinsteiger na...


Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo usiku wa October 21 ilicheza mechi dhidi ya klabu ya Sevilla katika uwanja wake wa nyumbani wa Etihad. Kabla ya kuanza kwa mchezo huo ambao klabu ya Manchester City iliibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Sevilla kuna tukio lilijitokeza ambalo huenda litaigharimu Man City.
Usiku wa mechi hiyo...


Kama ambavyo katika mitandao ya kijamii watu mbalimbali hupenda kuweka TBT
pichaz zao siku ya Alhamisi na kujikumbushia wapi walipotokea. Kama
kawaida mtu wangu wa nguvu huwa si ruhusu upitwe na kitu, nakusogezea
karibu yako TBT pichaz za kocha wa sasa wa FC Barcelona Luis Enrique, kocha wa FC Bayern Munich Pep Guardiola,...


Katibu
wa Kamati ya Taifa Stars, Teddy Mapunda leo amefanya makutano na
waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume,
ambapo ametumia nafasi hiyo kutangaza namba za simu za uchangiaji kwa
Watanzania kwa ajili ya timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’. Akiongea
na waandishi wa habari, Teddy amesema watanzania wanaweza kuichangia
Taifa...


MASTAA
wa zamani wa Manchester United, Paul Scholes na Rio Ferdinand,
wamesikitishwa na jinsi Timu yao ilivyocheza huko Moscow Jumatano Usiku
na kutoka Sare 1-1 na CSKA Moscow katika Mechi ya Kundi B la UEFA
CHAMPIONS. Katika Mechi hiyo, Man United walicheza ovyo Kipindi cha
Kwanza na kufungwa Bao la Penati lakini Kipindi cha Pili Man United
walizinduka na kusawazisha kwa Bao la...


UEFA EUROPA LIGI Usiku huu ina Mechi zake za 3 za Makundi yake na Klabu za England, Liverpool na Tottenham, zipo dimbani. Liverpool
wapo kwao Anfield kucheza na Rubin Kazan hii ikiwa ni Mechi yao ya
kwanza kabisa chini ya Menejqa mpya Jurgen Klopp hapo Anfield. Klopp
alianza kazi yake na Liverpool Wikendi iliyopita alipopata Sare huko
White Hart Lane walipocheza na Tottenham katika Mechi...
Subscribe to:
Posts (Atom)