Martin Odegaard
Miamba wa soka wa Hispania klabu ya Real
Madrid imefika makubaliano ya kumsajili mshambuliaji kinda Martin
Odegaard toka Stromsgodset. Odegaard mwenye umri wa miaka 16
atatambulishwa mbele ya waandisha wa habari leo, Real Madrid haijaeleza
imetoa kiasi gani cha fedha ili kupata saini ya kinda huyo lakini tetesi
zinaonesha wenda Real wakawa wametoa £2.3million.
japo...