Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema
ana imani na kikosi chake kuendelea kufanya vizuri ingawa kuna mambo kadhaa
hajaridhika sana.
“Katika soka kila unapocheza, linaibuka jambo
jipya. Mkirekebisha na kucheza mechi nyingine, linaibuka jambo ambalo
linahitaji marekebisho tena.
“Huo ndiyo mpira, tulitengeneza nafasi...
Tuesday, September 15, 2015



NAFTAL (KATIKATI) AKIFANYA YAKE LIGI KUU KENYA
Beki wa zamani wa Simba, David Naftal ameendelea
kung’ara katika kikosi cha Kenya Revenue Authority (KRA) na sasa amepania
kuhakikisha wanamaliza Ligi Kuu Kenya wakiwa katika nafasi tano za juu.
Kutoka Kenya, akizungumza na SALEHJEMBE, Naftal
amesema amekuwa akipambana na sasa ana uhakika wa namba katika kikosi cha
kwanza,...


Wakati
Staa wa Barcelona Lionel Messi akijitayarisha kucheza Mechi yake ya 100
kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, Kocha wake, Luis Enrique, Jumatano
anapambana na Klabu yake ya zamani AS Roma katika Mechi yao ya kwanza ya
Kundi E. Luis Enrique, Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Spain,
aliwahi kuwa Kocha wa AS Roma katika Msimu wa 2011/12 na kuondoka
Klabuni hapo baada ya kushindwa kuiingiza Mashindano...


Meneja wa Chelsea Jose Mourinho akiteta jambo leo wakati akiwa kwenye mahojiano na Wahandishi wa Habari leo.Wakati
Chelsea ikikanusha kuwepo na ngumi kati ya John Terry na Diego Costa,
zipo habari kuwa Meneja wao Jose Mourinho atacharuka na ‘kuwapiga shoka’
Mastaa Watatu kutoka Kikosi cha Kwanza. Huku
wakigubikwa na habari za kuwepo mzozo kati ya Kepteni wao John Terry na
Straika wao...



Mashindano
ya maarufu ya urembo duniani, Miss Universe, sasa yatakuwa chini ya
kampuni ya kusaka, kuendeleza vipaji na masoko ijulikanayo kwa jina la
WME/IMG.
Awali
mashindano hayo yalikuwa yakiendeshwa kwa ushirika baina ya kampuni
hiyo na kampuni inayojishughulisha na masuala ya habari na burudani ya
NBCUniversal na mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni,
mwanasiasa...


Marais wengi wa Afrika wamekuwa wakikaa kwa muda mrefu madarakani
hali inayochangia baadhi ya nchi kuingia katika machafuko wa kisiasa.
Ukongwe wao kwenye siasa umewafanya wengi wao kujikuta wakikaa miaka
mingi zaidi na kuvunja rekodi ya kukaa madarakani kwa muda mrefu.
Hapa nimekuwekea list ya Marais wa Afrika wenye umri mkubwa zaidi ya...


Mchezaji Matata wa Man United Martial Taswira kamili Wachezaji wa Man United wakifanya Mazoezi kabla ya kukutana na PSV EindhovenMeneja wa Man United Van GaalBastian, Shaw, Carrick, Young, Depay Juan Mata akiteta jambo na RojoDepay na ShawWakipasha wakati wa mazoezi kabla ya kukutana na PSV leo usikuFellaini nae ndaniKipa David De GeaBastian David De Gea aliyeongeza mkataba...


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA:
Barclays Premier League
PosLogo &TeamPWDLGDPts
1Manchester City220066
2Leicester City220036
3Liverpool220026
4Manchester United220026
5Everton211034
6Swansea City211024
7Crystal Palace210113
8West Ham United210113
9Norwich City210103
10Aston Villa210103
11Arsenal2101-13
12Watford202002
13Stoke City2011-11
14Tottenham Hotspur2011-11
15Newcastle United2011-21
16Chelsea2011-31
17Southampton2011-31
18West...
Subscribe to:
Posts (Atom)