Saturday, March 14, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi Mhe. Anne Kilango Malecela, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dr Alex Gehaz Malasusa, Mwenyekiti wa Harambee hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu na wachangiaji wakubwa katika harambee hiyo iliyofanyika usiku huu...
Dakika ya 42 Joel Wardalipachika tena bao la tatu na kuwaua zaidi QPR kwa kufanya 3-0 baada ya kupata mpira kutoka kwa Wilfried Zaha bao hilo lilihitimisha kipindi cha kwanza Crystal Palace wakienda mapumziko Vifua wazi kwa bao 3-0 kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Selhurst Park, London wakiongozwa na Mwamuzi L. Mason. James McArthur dakika ya 40 alipachika bao la pili na kufanya 2-0...
Aliyekuwa Kocha msaidizi wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Sylvester Marsh amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kocha huyo (Marsh) alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya koo na hivi karibuni alisafirishwa kutoka Mwanza hadi jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, hali ya Marsh pia aliyewahi kuwa Kocha Msaidizi wa Kilimanjaro Stars pia alizinoa timu kadhaa...
Na Amplifaya Amplifaya Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania katika michuano ya ufukweni leo imeshindwa kuutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukubali kichapo kikali cha goli 6-2. Walikuwa ni Tanzania ambao walianza mchezo katika morali nzuri ila mashambulizi yakiwa ya kushtukiza katika fukwe hizo za Escape One walifanikiwa kupata bao...
 Basi la Simiyu Express linalofanya safari zake Dar - Simiyu kila siku limepata ajali kwa kugonga mkokoteni unaosukumwa na ng'ombe na kuua mtu mmoja na ng'ombe wote leo saa sita mchanamkoani Simiyu katika kijiji cha Salunda barabara kuu iendayo Shinyanga.Hakuna abiria aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa ila kiongozi wa mkokoteni.dereva alifariki dunia na ng'ombe wake wawili walifariki pia. Basi...
Ajali mbaya ambayo imetokea Usiku wa kuamkia leo  maeneo ya CBE Dodoma..Basi la Osaka Raha ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata tela lake katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na t ela hilo na katika jitahada za...
MANCHESTER UNITED inafanya mkakati wa kumwezesha Radamel Falcao awe bora zaidi. Hilo limetamkwa na Meneja wa Manchester United Louis van Gaal hii Leo. Falcao, Straika wa Colombia mwenye Miaka 29, amefunga Bao 4 katika Mechi 20 tangu atue Man United mwanzoni mwa Msimu kwa Mkopo kutoka AS Monaco. Akiongea hii Leo na Wanahabari kwa ajili ya Mechi yao ya Jumapili ya Ligi Kuu England Uwanjani...
Manuel Pellegrini ana hakika hatafukuzwa kazi mwishoni mwa Msimu. Bosi huyo wa Manchester City yupo kwenye presha kubwa ya kuleta mafanikio na hasa Timu yake kutetea Taji lao la Ubingwa wa Ligi Kuu England. Hadi sasa, Man City wameshatupwa nje ya Makombe mawili ya England, FA CUP na CAPITAL ONE CUP, na huko Ulaya kwenye UEFA CHAMPIONS LIGI wapo mguu nje baada ya kuchapwa 2-1...

waliotembelea blog