
Duma waliokamatwa na kukabidhiwa maafisa wa huduma za wanyamapori.
WANAKIJIJI Kaskazini
Mashariki mwa Kenya wamewakimbiza Duma wawili ambao wamekuwa wakiwaua Mbuzi wao
na kuwakamata.
Wakaazi hao
wanaoishi karibu na mji wa Wajir walisubiri hadi majira ya joto nyakati za
mchana kuwafukuza Duma hao ambao baada ya kilomita sita walichoka na kusalimu
amri.
Jamaa aliyeongoza uwindaji huo amesema...