Wednesday, August 26, 2015

  Wachezaji wa Yanga SC wakisherehekea na Ngao ya Jamii wiki iliyopita baada ya kuifunga Azam FC kwa penalti 8-7 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM TZ BARA  Septemba 12, 2015 Ndanda FC Vs Mgambo JKT African Sports Vs Simba SC Majimaji FC Vs JKT Ruvu Azam FC Vs Prisons Stand United Vs Mtibwa Sugar Toto Africans Vs Mwadui Mbeya City Vs Kagera...
WINGA Ramadhani Yahya Singano ‘Messi’ usiku huu amefunga bao lake la kwanza Azam FC ikilazimishwa sare ya 1-1 na Mwadui FC ya Shinyanga Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati, walianza kupata bao kupitia kwa Singano ‘Messi’ kabla ya Bakari Kigodeko kuisawazishia Mwadui FC ya kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.  Hilo linakuwa bao la tatu...
Wayne Rooney akiondoka na mpira wake Uwanjani baada ya kupiga hat-trickAnder akishangilia bao lake la nne kwa man unitedAnder Herrera alifunga bao lake dakika ya 63 kipindi cha pili na kufanya 4-0 huku matokeo jumla yakiongezeka na kuwa (1-7). Dakika ya 81 Chicharito aliteleza na kukosa mkwaju wa penati kwa kupiga mpira vibaya kwa nje. Rooney anaondoa ukame wa mabao katika Mtanange huu...
Moja ya safari zinazokufanya uwe huru zaidi ni pamoja na usafiri wa ndege. Zipo ndege za aina mbalimbali na gharama zake hutegemea na umbali wa safari ya mtu..lakini pia watalam wa ndege wameweza kutengeneza hizi ndege ambazo unapoipanga inakufanya ujione ni sawa na upo nyumbani kutokana na vitu vinavyopatikana ndani yake. Nimekuwekea hizi Pichaz 15 za aina mbalimbali za ndege ambazo ni za...
August 25 ni siku ambayo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye alikuwa akiichezea Liverpool ya Uingereza  athibitishwe kujiunga na klabu ya AC Milan ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu. Balotelli alijiunga na AC Milan ikiwa ni msimu mmoja umepita toka ahamie Liverpool akitokea klabu ya AC Milan Sasa August 26 zimetoka taarifa mpya kuhusu vipengele vilivyomo ndani...
Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispania mashirikisho ya soka ya nchi husika huwa wanatangaza aina ya mpira utakaotumika katika msimu husika, tayari tumeshaona mpira unaotumika katika Ligi mbalimbali barani Ulaya. August 26 umetangazwa mpira utakaotumika katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya msimu huu, licha ya kuwa ulitumika katika mechi ya kwanza...
. Wakati Ukawa wakiwa wamezuiliwa kutumia uwanja wa Jangwani uliopo Dar es Salaam kwenye shughuli za kampeni uchaguzi 2015, sasa hapa nina picha ambazo zikimuonesha mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara zake huko Mikoani ikiwemo, Tunduma, Sumbawanga, Rukwa. .Mhe. Magufuli katika Kampeni za Uchaguzi 2015 mkoani Sumbawanga. .Mhe John Pombe...

waliotembelea blog