Wednesday, March 25, 2015

Rais wa ligi kuu ya soka nchini Hispania maarufu kama La Liga amesema kuwa Cristiano Ronaldo naweza akapata adhabu ya ukosefu wa nidhamu kutokana na aina ya ushangiliaji aliouonesha katika mechi ya El Classico dhidi ya Fc. Barcelona na hii ni mara baada ya kusawazisha goli katika mchezo uliochezwa siku ya Jumapili Nou Camp. Ronaldo alionekana akitoa ishara ya kuwataka mashabiki wa Fc. Barcelona...
  Na Amplifaya Amplifaya Unapata maana ya kwamba Pele anatambua kile au ni kipi unataka kumuuliza hata kabla haujaanza kubuni maneno. Labda ni kitu asili chenye muingiliano na uelewa sawa wenye athari kwa tabia za binadamu na jinsi gani anaweza kutumia hiyo fursa kwa faida yake ambayo imemfanya kuweza mchezaji mkubwa na mwenye historia kubwa duniani pia mwenye rekodi ya kuwa mfungaji mwenye...
Na Augustino Mabalwe,Dar es salaam Baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha, hatimaye kiungo mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid James Rodriguez arejea mazoezini kufuatia matibabu mazuri aliyopatiwa na madaktari wa timu hiyo. Rodriguez,23, alivunjika mfupa wa ndani katika mguu wake wa kulia mapema mwezi Februari katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla. Mchezaji huyo aliyesajiliwa...
Baada ya kumalizika kwa michuano ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam na timu za FFU na Zakhem kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye makundi yao,kesho 20/03/2015 utapigwa mchezo mmoja wa kusaka nafasi ya kuungana na mabingwa hao kushiriki michuano ya ligi ya mikoa. Mchezo huo wa mtoano utakaopigwa katika uwanja wa Mizinga Kigamboni,utazikutanisha timu za Pan Africa dhidi ya Changanyikeni ambazo...
Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kushirikiana na Kilimanjaro Premium Lager wamezindua rasmi msimu mwingine wa tuzo za muziki Tanzania unaojulikana kama Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA). Meneja wa bia ya Kilimanjaro Pamela Kikuli amesema; “Kilimanjaro Premium Lager ni bia ya watanzania na imejikita katika kuwaletea burudani na pia kutoa majukwaa ambayo yanawapa Watanzania...
Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa na Masoko wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Nsao Shalua (kushoto), akikabidhi bendera ya taifa kwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha nchi katika fainali za Afrika za Airtel Trace Music Stars zitakazofanyika Jumamosi Machi 28, nchini Kenya na kushirikisha nchi 13, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika...
Shirikisho la kanda kanda Nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa katika ligi za nchi hiyo.Mwenyekiti wa shirikisho hilo Greg Dyke asema kwamba ligi kuu ya England ipo kwenye hatari ya kutowasaidia wachezaji raia wa Uingereza kama hatua hazitachukuliwa.Katika mpango pia itaweka sheria ngumu...
Timu ya Kiluvya United ya mkoa wa Pwani jana imetawazwa Mabingwa wapya wa Ligi Daraja la Pili (SDL) baada ya kuifunga Mbao FC ya Mwanza kwa mabao 4-2 katika mchezo wa fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es salaam. Kiluvya United inaunganana timu za Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma, Mbao FC ya Mwanza na Mji Njombe ya Njombe kupanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL)msimu...

waliotembelea blog