
Meneja
masoko na mauzo wa Kampuni ya Mega Trade Edmundi Rutaraka, akimkabidhi
hundi ya Ts 1.5 Milioni Katibu wa chama cha waandishi wa habari za
michezo na burudani mkoa wa Arusha,Mussa Juma kwa ajili ya tamasha la
10 waandishi wa habari mkoa wa Arusha, Manyara na Dar es salam na wadau
wa habari ambalo litafanyika Agoust 29 uwanja wa sheikh Amri Abeid,
hafla hiyo ilifanyika jana, Palace...