
Marehemu Steven Kanumba.
Mama wa staa wa filamu za Kibongo,
Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila kwa mara ya kwanza
amemfungukia marehemu Steven Kanumba aliyefariki dunia Aprili 7, 2012.
Katika mahojiano rasmi na Risasi Jumamosi, juzi jijini Dar, Mama Lulu
aliweka wazi kila kitu kuhusu madai mbalimbali ya yeye na mama Kanumba,
Lulu na marehemu Kanumba. Mambo yaliyoelekezwa ayajibu...