Wednesday, December 7, 2016

Serikali imefuta hatimiliki ya viwanja 15 vilivyokuwa vinavyomilikiwa na Raia wa Uingereza, mfanyabiashara maarufu jijini Mwanza, Hermant Patel, Mwenye Uraia wa Tanzania na Kenya kitendo ambacho ni kinyume cha taratibu na sheria za nchi zinazozuia raia wa kigeni kumiliki ardhi. Waziri...
Staa wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea timu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo leo December 7 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kutoka kwa interview yake aliyofanya na FourFourTwo. Ronaldo ameongea mambo katika interview yake ya FourFourTwo lakini moja...
Category:  First Team Team:  Azam FC UJIO wa makocha kutoka Hispania ndani ya Azam FC, umeanza kuitangaza timu hiyo kutokana na watu wengi wa nchi hiyo kuanza kuwafuatilia mabingwa hao wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati. Uongozi wa Azam FC kabla ya kuanza msimu huu, iliwaajiri makocha kutoka nchini hiyo inayosifika kuwa na Ligi...
WATANZANIA watakiwa kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika Kukuza Uchumi kwa kujiunga pamoja na kuanzisha Viwanda vidogo vidogo na vya kati. Rai hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mwandishi wa habari hii kuhusu maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania. Akizungumzia kauli mbiu...
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 07 Desemba Ikulu jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU ...

waliotembelea blog