
Caner
Erkin wa Uturuki (kushoto) akipambana na Luciano Narsingh wa Uholanzi
usiku huu katika mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2016. Uturuki imeshinda
3-0 mabao ya Oguzhan Ozyakup dakika ya nane, Arda Turan dakika ya 26 na
Burak Yilmaz dakika kabla ya filimbi ya mwisho. Uholanzi imeporomoka
hadi nafasi ya nne na sasa inaweza kufuzu Euro kupitia mchezo maalum wa
mchujo.
+11
Holland...