Uwanja wa Etihad
Mradi wa kuongezeka idadi ya
mashabiki katika uwanja wa Manchester City kutoka mashabiki elfu
arubaini na nane hadi elfu sitini na mbili umeidhinishwa.
Klabu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Premier nchini England, itajenga maeneo zaidi...
Thursday, February 13, 2014


Dhoruba kali ya majira ya baridi kali
imesababisha zaidi ya watu 300,000 eneo la kusini mashariki mwa Marekani
kukosa umeme wakati dhoruba hiyo ikielekea eneo la kati ya Atlantic na
sehemu za kaskazini mashariki mwa taifa hili.
Dhoruba imesababisha kunyesha kwa
darzeni ya sentimeta za theluji kote katika eneo la Washington DC hapo
Alhamis. Wakati katika baadhi...


Kocha
Mkuu wa Twiga Stars, Rogasian Kaijage amesema kikosi chake kiko tayari
kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi
ya Zambia itakayochezwa keshokutwa (Ijumaa) jijini Lusaka.
Akizungumza
kwenye hafla ya kuiaga timu hiyo iliyofanyika leo (Februari 12 mwaka
huu) kwenye ofisi za TFF jijini Dar es Salaam, Kocha Kaijage amesema
wachezaji wake wako...



Mgeni Rasmi katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa
hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kongamano hilo,uliofanyika mapema leo
kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti
wa Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa,Mh. George Kahama akitoa hotuba
...


Fainali
ya kombe la ligi nchini Hispania (Copa del Rey) inatafanyika tarehe 19
April 2014 na safari hii itawakutanisha vigogo wa La Liga Real Madrid na
Barcelona. Mechi hii inatarajiwa kuwa ni ngumu na kuvutia kwani Madrid
na Barca ni wapinzani wa jadi nchini Hispania na ikizingatiwa pia
makocha wa timu hizi wote ni wageni na wanahitaji kutwaa vikombe wakiwa...


Mkurugenzi
wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Marsha Bukumbi
akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 mshindi wa shindano
la Championi Mahela, Kizito George Chuma (kushoto).
Kizito George Chuma akiwa ameshika mfano wa hundi yake ya milioni 10.
Kizito
George Chuma akiongea na wanahabari (hawapo pichani) baada ya
kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi...



Emmanue Okwi
Mshambuliaji
wa kimataifa wa timu ya Uganda na timu ya Young Africans leo ameruhiswa
ramsi kuanza kuitumikia timu yake katika michezo ya Ligi Kuu na
Mashindano ya klabu Bingwa Barani Afrika kufuatia shirikisho la soka
nchini TFF kuiandikia barua klabu ya Young Africans.
Okwi ambaye alisajiliw aa Young Africans mwishoni mwa mwaka jana na
kucheza michezo ya kirafiki ya kujiandaa...
Subscribe to:
Posts (Atom)