KIKOSI cha
pili cha mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc kitakabiliana
na Mtibwa Sugar katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa leo katika
Tamasha la Usiku wa Matumaini , uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Hii itakuwa mechi nzuri kwa timu zote kuangalia uwezo wa wachezaji...
Friday, August 8, 2014


Mwimbaji
wa Injili, Upendo Nkone akiwapa matumaini wananchi waliohudhuria Usiku
wa Matumaini muda huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Upendo Nkone akiwapa burudani wapenzi wa Gospel ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Umati wa watu ndani ya Tamasha la Matumaini 2014.
Nkone akizidi kufanya yake pamoja na vijana wake.
Baadhi ya wanahabari na wadau wakifuatilia...



Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,
Hussein Shariff, Manyika Peter Manyika, Mohammed
Hussein, Abdi Banda, Elius Maguli, Saad Kipanga watatambulishwa kesho katika
Tamasha la ‘ Simba Day’ katika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Tamasha hilo la kila mwaka ambalo hufanyika tarehe
8, Agosti ya kila mwaka lilianza kufanyika kwa mara kwanza msimu wa kiangazi
mwaka 2009 chini ya waasisi,...


Wasiwasi: Bosi wa Arsenal, Arsene Wenger alikiri kuwa kuna timu hatari katika droo ya UEFA iliyofanyika leo ijumaa.
ASERNAL watakabiliana na Besiktas katika mchezo wa raundi ya pili ya mtoano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya (UEFA).
Arsene Wenger alikwepa kukutana na Athletic
Bilbao, Lille , FC Copenhagen, Standard Liege, lakini sasa atachuana na
timu hiyo...


Wamekubaliana: Barcelona wameonekana kuwapiku Manchester United katika kumsajili, Thomas Vermaelen.
BARCELONA imekubali kulipa ada ya uhamisho ya paundi milioni 15 ili kuinasa saini ya beki wa Asernal, Thomas Vermaelen, na taarifa hizi ni pigo kubwa kwa mashetani wekundu, Manchester United waliotaka kumsajili.
Kilichobaki sasa ni makubaliani binafsi kati ya wakala...


Divas
wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mbepera(wa
pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai
Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight
Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee
kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii.
Divas
wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na...


+10
+10
Bingwa: James Wilson akiwa amebeba kombe la 'Manchester Senior Cup' baada ya kuingoza United kushinda mabao 4-1 dhidi ya Cit.
KINDA
wa Manchester United,James Wilson amemkumbusha Louis van Gaal umuhimu
wake kwa kufunga mabao yote manne katika ushindi wa 4-1 dhidi ya
mahasimu wao wakubwa Manchester City.
Timu hizo mbili hasimu zilikutana jana usiku...


Na Baraka Mpenja
MICHUANO ya Kombe la Kagame inaanza kutimua vumbi
leo hii Agost 8 hadi 24 mwaka huu mjini Kigali nchini Rwanda, ambapo timu 14 zitawania taji linaloshikiliwa
na mabingwa watetezi, Vital’O ya Burundi.
Wawakilishi wawili wa Tanzania katika michuano
hiyo, KMKM ya visiwani Zanzibar na mabingwa Tanzania wa ligi kuu soka Tanzania bara,
Azam fc watashuka dimbani...


BAADA ya kutolewa kushiriki michuano ya klabu bingwa
Afrika mashariki na kati maarufu kwa jina la kombe la Kagame, Yanga sc imesema
maisha mengine yanatakiwa kuendelea kama kawaida.
Katibu mkuu wa Yanga, Beno Njovu alisema
wamesikitishwa kutolewa Kombe la Kagame, lakini hali hiyo haiwafanyi washindwe
kuendelea na mipango mingine ya kuiandaa timu kwa ajili ya michuano...


Mtaalamu: Ryan Giggs alifunga bao pekee la kufutia machozi katika kichapo cha mabao 5-1.
Kiungo mwalimu: Paul Scholes akimiliki mpira kuonesha kuwa ujuzi hauzeeki.
Winga mchawi: Kocha mpya msaidizi wa Manchester United, Ryan Giggs akimpiga chenga mpinzani wake wa Salford City
Majukumu ya ukocha: Nyota wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand
MAGWIJI wa...
Subscribe to:
Posts (Atom)