Paul Matthysse ‘P-Funk’ akionesha jeraha alilolipata kichwani baada ya kuanguka chooni.
P alidamka alfajiri kwenda msalani kujisevu mambo ya short-call,
akiwa huko alishikwa na kizunguzungu cha ghafla kisha akaanguka kama
mzigo.
Ajali hiyo, ilimkuta P alfajiri ya Ijumaa iliyopita na kuhusu hilo,
mwenyewe alifunguka: “Nilishangaa sana, unajua siku hiyo sikuwa
nimekunywa pombe kusema...
Tuesday, November 12, 2013


Wakazi wa mtaa wa migombani kata ya segerea wakiwahoji matapeli ambao walikua wakijaribu kumfanyia utapeli dada mmoja
na hatimaye kushindwa kutimiza lengo lao mara baada ya dada huyo
kushtukia mbinu zao na kuomba msaada kwa wananchi na ndipo hapo
walipotiwa nguvuni na kupelekwa katika ofisi za serikali ya mtaa wa
migombani
Matapeli
(mwenye shati la draft) wakipewa kichapo mara baada ya kushindwa...



Weekend
iliyopita msanii wa muda mrefu wa muziki wa Dancehall Hard Mad ametoa
wimbo mpya ambao ni jibu la hit song ya Lady JayDee ‘Yahaya’. Swali la
Jide “Yahaya unaishi wapi” ndio limezaa jina la wimbo wa Hard Mad aliyejibu ‘Naishi Ghetto’, na mambo mengine yote yaliyoimbwa katika wimbo huo ni majibu ya maswali ya ‘Yahaya’.
Hard Mad
Hard
Mad amezungumzia jinsi wazo la kufanya wimbo wenye...



Stori: Musa Mateja
RAIS wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond’, juzikati alifunguka kuwa kwenye maisha yake ya ndoa
atakayoingia siku chache zijazo, aliyekuwa mchumba wake wakamwagana na
kurejeana hivi karibuni, Wema Sepetu asitegemee kuolewa naye.
Diamond ambaye ni staa wa Bongo Fleva
aliyasema hayo mbele ya paparazi wetu Novemba 7, mwaka huu jijini Dar
kufuatia kuulizwa anamchagua...



Mwanamuziki
nyota wa muziki wa kizazi kipya usiku wa kuamkia Jumatatu alionja joto
ya kiwe baada ya kutekwa na kusurubiwa kisha kunyang'anywa kila kitu
pamoja na gari yake.
Mwanamuziki
huyo akiwa kwenye viunga vya Club ya usiku ya Kibo iliyopo Tegeta
Jijini Dar pamoja masisita du wakila bata ghafra kundi la watu watano
lilimvamia na kumkamta msobe msobe hadi nje ya ukumbi pamoja na
kumrukisha...


Kijana anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva Diamond
Platnumz mambo si mabaya kwake baada ya kuonyesha mjengo wake mwingine wa
hatari ambao bado upo katika ujenzi.
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram,Diamond jana ame-share
picha ya nyumba hiyo na chini akatia neno..Shuka nayo.
''Toa kitu weka kitu...! Ndio tulivyo funzwa...stareh
tunawaachia wajanja wa mji......


MSANII wa filamu wa kike Bongo Irene Uwoya yupo katika maandalizi ya
kuanza mazoezi ya ngumi baada ya kumpata mwalimu ambaye ni Bondia
maarufu Rashid Matumla ‘Snake Boy’ akiongea na FC Irene kasema kuwa
ameamua kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiweka vema na kulinda nafasi
yake ya uigizaji kwani amegundua wasanii wengi wanapoteza mvuto kwa
kujiachia kwa unene.
Irene Uwoya akiwa na timu...


MSAADA Nakukubali sana, napenda unipe nafasi niwe chini ya lebo yako. Geofrey, Kibaha, 0713434329 BOB JUNIOR: Njoo studio kwangu (Sharobaro) nikusikilize kama unafaa basi nitakuchukua tufanye kazi pamoja.
ANATOKA NA AUNT LULU? Bob Junior nataka kujua, eti wewe unatoka
kimapenzi na Aunt Lulu (Lulu Mathias), mlimbwende wa Kimwana Manywele?
Salim Liundi, Dar, 0658110395 BOB JUNIOR: Hapana.
KWA...
Subscribe to:
Posts (Atom)