Tuesday, July 15, 2014

Mshambuliaji mpya Yanga, Geilson Santana Santos ‘Jaja’ awasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo tayari kuitumikia klabu yake akitokea nchini kwao Brazi Mshambuliaji mpya Yanga, Geilson Santana Santos ‘Jaja’ awasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo tayari kuitumikia klabu yake akitokea nchini kwao Brazi ...
BAADA kukirejesha Kikosi cha Netherlands kwao baada Fainali za Kombe la Dunia toka huko Brazil, Kocha mpya Louis van Gaal Leo hii anatarajiwa kutua Klabu yake Mpya Manchester United Jijini Manchester huku ikiwepo shauku kubwa ya kuleta Wachezaji wapya. Anga za Uhamisho huko Ulaya sasa zimejaa mategemeo makubwa kuwa kuanza kazi rasmi kwa Van Gaal huko Old Trafford kutashuhudia Mabingwa...
Semina na mtihani wa utimamu wa mwili (physical fitness test) kwa waamuzi wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) na baadhi ya wale wa daraja la kwanza wenye kiwango cha juu (elite) itafanyika jijini Dar es Salaam. Waamuzi 30 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar watashiriki kwenye semina hiyo itakayofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia Julai 21 hadi 26 mwaka huu. Mkufunzi...
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo.Mkutano ukiendelea...Sehemu ya mapaparazi waliofika kwenye tukio hilo.Rais wa Chama cha Ngumi za Kulipwa nchini (T.P.B.O) Yasin Abdallah (katikati) ambao ndiyo wasimamizi wa pambano la Maugo na Mashali katika tamasha hilo, akizungumzia pambano hilo.Meneja ...
Kocha wa Brazil Luiz Felipe Scolari amelaumiwa kwa kichapo ilichopata Brazil Ripoti nchini Brazil zinasema kuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo. Scolari alilaumiwa pakubwa sana kwa timu ya Brazil kupata kichapo kibaya ilipocheza na Ujerumani ambao wameibuka mabingwa wa kombe la dunia mwaka huu. Kichapo hicho kilikuja wakati...
Manchester United leo hii imetangaza kufikia makubaliano na Kampuni ya Adidas ya Miaka 10 ya Jezi na Vifaa vya Michezo ambapo watalipwa Pauni Milioni 750 na hii ndio Dili kubwa Duniani kwa Mikataba ya aina hiyo.Mkataba wa pande hizo mbili utaanza Msimu wa Mwaka 2015/16 na kila Mwaka Man United italipwa Pauni Milioni 70 ikiipita Real Madrid ambayo ilikuwa ikizoa Pauni Milioni 31 kwa Mwaka...
Washambuliaji Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas).Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika (AFCON) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Mambas itachezwa Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa,...

waliotembelea blog