Luiz Felipe Scolari kwenye wasiwasi kubwa baada ya kupoteza kwa kufungwa bao 3-0 l kutoka kwa Holland juzi jumamosi.
Scolari aliwaongoza Brazil na waliambulia nafasi ya Nne katika Michuano ya fainali za kombe la Dunia 2014
Scolari kwenye majanga ya kufungwa mara kwa mara kwenye mechi zao za mwisho, Mikono kichwani hana hili wala lile!!!
Mashabiki wa Brazil wakimshukuru kocha wao Scolari kwa kuwa nao tangu 2002 lakini sasa wanataka apotee katika Klabu hiyo baada ya kuona wanaambulia vichapo mwishoni mwa Kombe la Dunia 2014 huko kwao Brazil.
RSS Feed
Twitter
4:41 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment