Friday, October 23, 2015

MECHI 10 ZA MWISHO ZA MAN U VS MAN CITY United 3-2 City - 7 August 2011 United 1-6 City - 23 October 2011 United 3-2 City - 8 January 2012 City 1-0 United - 30 April 2012 City 2-3 United - 9 December 2012 United 1-2 City - 8 April 2013 City 4-1 United - 22 September 2013 United 0-3 City - 25 March 2014 City 1-0 United - 2 November 2014 United 4-2 City -  12 April 2...
MECHI YA LIGI KUU ENGLAND KATI YA WATANI MAN UNITED WATAKAOKUWA NYUMBANI DHIDI YA MAN CITY KESHO JUMAPILI INASUBIRIWA KWA HAMU SANA. TAKWIMU ZA MSINGI, HIZI HAPA, SOMA KWA RAHA ZAKO.... ...
Na Saleh Ally KAMA ni Mwanaliverpool lazima utakuwa unajua hadithi za wachezaji kama Phil Thomson, Graeme Souness, Alan Hansen ambao waliifanya Liverpool kuanza kusimama katika miaka ya 1930 na baadaye miaka ya 1970 na 1980. Miaka hiyo ya 1980 kwenda 1990 wachezaji kama akina Ronnie Whelan, Mark Wright halafu kikaja kizazi cha akina Ian Rush, John Barnes na kumaliziwa na akina...
 Meneja  wa Mawasiliano  Efm, Denis Ssebo akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kumpata mshindi wa  shindano la kubuni maneno ya Kanga kupitia kipindi cha UHONDO ambacho huruka hewani kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa sita mchana hadi saa tisa alasiri, kikiwa na Matangazaji mahiri Dina Marios, kikao hicho kimefanika leo jijini...
BAADA ya kuzichapa Man United, Watford na Bayern Munich, Jumamosi Arsenal wana nafasi ya kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England kwa mara ya kwanza katika Miaka Miwili ikiwa wataifunga Evrton Uwanjani Emirates. Msimu uliopita kwenye Mechi kama hii, Arsenal iliifunga Everton 2-0 na safari hii Arsenal wapo kwenye wimbi zuri la ushindi wakitoka kuzichapa 3-0 Man United na Watford kwenye Ligi ...
JUMAPILI ya Oktoba 25, 2015, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uchaguzi ni nini? Zipo tafsiri mbalimbali lakini mojawapo na iliyo wazi ni kwamba, hii ni njia ya kidemokrasia inayotumiwa na watu katika kuchagua viongozi wa kuwaongoza kwa kipindi fulani kwa mujibu wa Katiba au utaratibu waliojiwekea...
REFA Mark Clattenburg ndie atasimamia Dabi ya Jiji la Manchester Jumapili Oktoba 25 Uwanjani Old Trafford wakati Manchester United wakiwavaa Manchester City. Clattenburg, mwenye Miaka 40, ndie aliesimamia Dabi iliyopita Uwanjani Old Trafford wakati Man United, chini ya Meneja Louis van Gaal, ilipoinyuka City Bao 4-2 Mwezi Aprili kwa Bao za Ashley Young, Marouane Fellaini, Juan Mata na...
Dakika ya 37 Emre Can aliwasawazishia bao Liverpool kwa kufanya 1-1 na mtanange kwenda mapumziko wakiwa sare, Kipindi cha pili pamoja na Timu ya Rubin Kazin kucheza kwa pengo la mchezaji mmoja aliyetolewa  kwa kadi nyekundu, Liverpool hawakuweza kuifunga timu hiyo na hatimaye waliweza kusawazisha tu na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa nguvu sawa ya bao 1-1.Marko Devic akipongezwa...
LIGI KUU VODACOM MATOKEO: Alhamisi Oktoba 22 JKT Ruvu   0 v Mtibwa Sugar 0 Mwadui FC 3 v Mgambo JKT 1 Mbeya City 1 v African Sports 0 Ndanda FC  0 v Azam FC 1 VPL, Ligi Kuu Vodacom, imeendelea tena Leo kwa Mechi 4 na  Azam FC wameikamata Yanga kileleni kwa Pointi baada ya kuifunga Ndanda FC Bao 1-0. Bao pekee la Azam FC lilifungwa Dakika ya 70 na Shomari Kapombe kwenye Mechi...

waliotembelea blog