Dakika
ya 37 Emre Can aliwasawazishia bao Liverpool kwa kufanya 1-1 na
mtanange kwenda mapumziko wakiwa sare, Kipindi cha pili pamoja na Timu
ya Rubin Kazin kucheza kwa pengo la mchezaji mmoja aliyetolewa kwa kadi
nyekundu, Liverpool hawakuweza kuifunga timu hiyo na hatimaye waliweza
kusawazisha tu na mtanange kumalizika kwa dakika 90 kwa nguvu sawa ya
bao 1-1.Marko Devic akipongezwa na wenzie baada ya kuwafungulia bao kwa kufanya 1-0 dhidi ya Liverpool.Marko Devic akimnyamazisha Kocha wa Liverpool Klopp
VIKOSI:
Liverpool XI: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Allen, Milner, Lallana, Coutinho, Origi
Akiba: Bogdan, Toure, Benteke, Firmino, Lucas, Ibe, Randall
Rubin Kazan XI: Ryzhikov; Kuzmin, Nabiullin, Kverkvelia, Kambolov, Carlos Eduardo, Ozdoev, Karadeniz, Georgiev, Devic, Kanunnikov
Akiba: Lemos, Portnyagin, Haghighi, Bilyaletdinov, Cotugno, Dyadyun, Akhmetov

0 maoni:
Post a Comment