Friday, January 17, 2014

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Bw. Ludovick Utouh Natoa taadhari kwamabtulikuwa na adidi za rejea amabazo ndizo tulizofuata,tulipokea mombi ya wananchi wengi lakinio hayakuwepo katika adidu za rejea,hatukuyafanyia kaziKilichobainikaTunapohitaji maendeleo,tunafanya vitu kwa nia njema bila kufuata taratibuKuhusu uwekezaji wenye mashaka kwenye kituo cha kuosha magari,zabuni haikuwa shindanishini...
   Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe akimkaribisha mgeni Rasmi leo kwenye kikao hicho cha kukamilisha Ukaguzi Maalum" Exit Meeting"  Cha mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali leo Januari 17.2014 Mjini Bukoba ambapo kikao hicho kilianza mapema saa 5 Asubuhi. Viongozi kufungua kikao  Katibu Tawala wa Mkoa Kagera Bw. Nassor Mnambila. hapo ndo ukimbini Meya ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba kutokana na upelelezi uliofanywa kuwa mbovu na wakili aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kuwa mzembe. Liyumba alikuwa akikabiliwa na kesi ya kukutwa na simu akiwa gerezani Ukonga, Dar es Salaam, wakati akitumikia kifungo...
 Lionel Messi, ameifungia Timu yake Barcelona Bao 2 na kuihakikishia kucheza Robo Fainali ya Kombe la Mfalme wa Spain, Copa del Rey, baada baada kuibwaga Getafe Bao 2-0 na kuitupa nje. Dani Alves kulia akichuana vikali na mchezaji wa Getafe midfielder Angel Lafita Neymar aliumia   COPA del REY RATIBA Robo Fainali Mechi ya Kwanza Jan 21-23, Marudiano Jan 28-30 A...

waliotembelea blog