Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe akimkaribisha mgeni Rasmi leo kwenye kikao hicho cha kukamilisha Ukaguzi Maalum" Exit Meeting" Cha mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali leo Januari 17.2014 Mjini Bukoba ambapo kikao hicho kilianza mapema saa 5 Asubuhi.
Viongozi
kufungua kikao Katibu Tawala wa Mkoa Kagera Bw. Nassor Mnambila.
hapo ndo ukimbini
Meya
wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani pamoja na Madiwani wa
Manispaa ya Bukoba 





Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe.
Agrey Mwanri ndie aliyemalizia kwa kutoa Maelezo ya Serikali.
Baadhi ya Madiwani wakiwa makini.
Naibu
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akiendelea kutoa Maelezo ya
Serikali. Kuhusu Suruhisho hilo ambapo yamebainika Makosa ya Meya
Anatory kufanya makubaliano bila idhini ya Madiwani na Taratibu za
serikali, Basi ajipime Mwenyewe na Kujiudhuru mara moja kwa Maslahi ya
Manispaa ya Bukoba.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akiendelea kutoa maelezo ya serikali kiujumla na kukamilisha ukaguzi huo. Watumishi wa Manispaa wachukuliwe hatua
Bw. Khamis Kaputa avuliwe Madaraka
Mhandisi,Mweka hazina nk wapoteze vyeo vyao!
Wakandarasi wote waliopata fedha bila taratibu wazirejeshwe.
Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe (kulia) akisikitika baada ya
kumsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri ambaye
aliyemwakilisha vyema Waziri Mkuu.
RSS Feed
Twitter
6:29 AM
Unknown
0 maoni:
Post a Comment