Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama
cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama
hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi
ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana.
Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya...
Monday, July 27, 2015



LowassaNi
wiki ya mtikisiko. Hivi ndiyo unavyoweza kuelezea hali itakavyokuwa
nchini kutokana na matukio makubwa ya kisiasa yanayotazamiwa kutokea
ndani ya wiki inayoanza leo ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa siasa
za Tanzania.Hali hiyo inatokana na vuguvugu la kisiasa linalohusisha
viongozi wenye ushawishi kuhama vyama vyao vya siasa na kutimkia kwenye
vyama vingine, ikiwa ni siku...


Mwanariadha wa Polisi Tanzania
Fabian Nelson (wa pili) akipambana na wanariadha wengine katika mbio za
kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa
Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO)
yanayoendelea nchini Swaziland.Fabian Nelson alishinda medali ya Fedha
baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio hizo.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi...


Baraka Kizuguto msemaji wa TFF
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na
kati maarufu kama CECAFA limetangaza mabadiliko ya muda wa kuanza kwa
mechi za robo fainali ya michuano hiyo.. CECAFA imetangaza mabadiliko
hayo kupitia kwa msemaji wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Baraka Kizuguto.
Mabadiliko yaliotangazwa hapo ni ya mechi za robo fainali, mchezo wa kwanza utapigwa saa 7:45...


Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast Didier Drogba ambaye
pia amewahi kuitumikia klabu ya Chelsea ya Uingereza kwa miaka kadhaa
sasa ameamua kuendeleza maisha yake ya soka Canada na ataanza kuonekana
katika Ligi Kuu ya Marekani MLS.
Taarifa zimethibitisha kuwa Drogba amekubaliana na klabu Montreal Impact na atajiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miezi...


Internazionale hawakupata kitu katika mtanange huu hii leo, Wakinyukwa bao 3-0 na Real. BAO za Real Madrid zilifungwa na Jese
dakika ya 29 kipindi cha kwanza na bao mbili kipindi cha pili
zilizofungwa na Raphaël Varane dakika ya 56 na lile la James Rodríguez
dakika ya 88' Cristiano Ronaldo kwenye Patashika
Dakika ya 46 Real Madrid waliwapumzisha,
Cristiano Ronaldo, Keylor Navas, Gareth...


Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho anajulikana kwa majigambo, kujisifia lakini pia anapenda kitu kizuri kiwe kwake.
Kama utakua unakumbuka vizuri Mourinho
ni kocha anayependa mfumo wa kujihami kwa lugha za mpira wanaita kupaki
Bus yaani ni mfumo ambao timu inashambulia kwa kushtukiza na kujihami
kwa kiasi kikubwa… Lakini cha kushangaza aliwahi kukutana na timu yenye
tabia...


Mshambuliaji wa Yanga, Amisi Tambwe akishangilia kwa staili ya aina yake
baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa Kombe la Kagame
dhidi ya Khartoum ya Sudan uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni mshambuliaji wa timu hiyo, Malimi Busungu.
(Picha na Francis Dande)
Msuva akimiliki mpira.
Malimi...


Chelsea
na Paris Saint-Germain zimetoka 1-1 katika Mechi ya Kirafiki ya
michuano ya International Champions Cup huko Bank of America Stadium,
North Carolina lakini Chelsea wamepata ushindi baada kupigiana Penati
kwa kupata Penati 6-5. Majuzi, Chelsea walitwangwa Bao 4-2 katika Mechi yao ya kwanza na New York Red Bulls. Bao
za mechi hii zilifungwa na Zlatan Ibrahimovic, Dakika ya 25, kwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)