Monday, July 27, 2015


Chelsea na Paris Saint-Germain zimetoka 1-1 katika Mechi ya Kirafiki ya michuano ya International Champions Cup huko Bank of America Stadium, North Carolina lakini Chelsea wamepata ushindi baada kupigiana Penati kwa kupata Penati 6-5.
Majuzi, Chelsea walitwangwa Bao 4-2 katika Mechi yao ya kwanza na New York Red Bulls.
Bao za mechi hii zilifungwa na Zlatan Ibrahimovic, Dakika ya 25, kwa PSG na lile la Chelsea kufungwa na Victor Moses katika Dakika ya 65.

Kwenye Mikwaju ya Penati, KIpa wa Chelsea, Thibaut Courtois, aliokoa Penati mbili.
Zikiwa zimebki Dakika 25, Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alimuingiza Straika wao mpya alietoka kwa Mkopo kutoka AS Monaco, Radamel Falcao.
Kipa wa Chelsea akiachia na kumfunga kipa mwenzake wa PSGAkiokoa mkwaju wa PenatiRadamel Falcao akipigana vikumbo kuutafuta mpira dhidi ya MarquinhosviesKipa wa Chelsea Thibaut akiokoa jahazi langoni mwakeThiago Motta na John TerryBlaise Matuidi na Nemanja MaticWachezaji wa PSG wakimpongeza mwenzao Zlatan baada ya kufunga bao kipindi cha kwanza

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog