Monday, July 27, 2015


.Internazionale hawakupata kitu katika mtanange huu hii leo, Wakinyukwa bao 3-0 na Real.
BAO za Real Madrid zilifungwa na
Jese dakika ya 29 kipindi cha kwanza na bao mbili kipindi cha pili zilizofungwa na Raphaël Varane dakika ya 56 na lile la James Rodríguez dakika ya 88'
Cristiano Ronaldo kwenye Patashika
Dakika ya 46 Real Madrid waliwapumzisha, Cristiano Ronaldo, Keylor Navas, Gareth Bale, Pepe na Sergio Ramos na kuwaingizwa Denis Cheryshev, Bale, Lucas Vázquez, Nacho Fernandez na Raphael Varane.
Raphaël Varane, katika Dakika ya 56, aliwapa Real Bao lao la pili alipomalizia Mpira safi ndani ya Boksi na Bao la 3 kufungwa kwa Frikiki kali ya James Rodriguez.
Isco na JeisonJeisco na Gareth BaleJuan Jesus akiwekea kigingi na RonaldoMarcelo Mateo na Denis Kovacic www.bukobasports.comRafael Benitez kwenye Ukodak

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog