Mwanariadha wa Polisi Tanzania
Fabian Nelson (wa pili) akipambana na wanariadha wengine katika mbio za
kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa
Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO)
yanayoendelea nchini Swaziland.Fabian Nelson alishinda medali ya Fedha
baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio hizo.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Swaziland).
Mwanariadha wa Polisi Tanzania
Fabian Nelson (kushoto) akishangilia na wanariadha wenzake kutoka
Zimbabwer baada ya kuvalishwa medali ya fedha baada ya kushika nafasi
ya pili katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini
Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa
Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.nafasi ya kwanza na ya
tatu ilikwenda kwa wanariadha kutoka Jeshi la Polisi la Zimbabwe.
0 maoni:
Post a Comment