United wakishangiliaManchester
United, leo wamemaliza Ziara yao ya huko Asia kwa kucheza Hong Kong na
kuichapa Kitchee FC Bao 5-2. Bao za united zilianza kupatikana kipindi
cha kwanza dakika ya kumi na sita kupitia mshambuliaji Welbeck Dakika,
Fabia akazidi kuichangamkia
timu yake kwa kuipachikia bao dakika ya 26, Januzaj kipindi cha pili
muda mchache kabla ya mapumziko kisha...
Monday, July 29, 2013


Licha
ya Taifa Stars kushindwa kufuzu kucheza katika mashindano ya CHAN
mwakani baada ya kufungwa na Uganda Cranes 3-1, wadhamini wa Stars,
Kilimanjaro Premium Lager wamesema hawajakata tama nab ado wana imani na
timu nzima na kocha Kim Poulsen. Akizungumza
jijini Dar es Salaam baada ya Stars kuwasili, Meneja wa Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe alisema licha...



Matajiri wapya katika soko la usajili barani ulaya klabu ya AS Monaco imesema kwamba walipewa ofa ya kumnunua winga wa klabu ya Manchester United Nani.
Winga huyo wa timu ya taifa ya Ureno amekuwa njia panda kujua hatma yake ndani ya Old Trafford kabla ya kustaafu kwa Sir Alex Ferguson mpaka sasa chini ya manager mpya David Moyes.
Billionea anayemiliki klabu ya Monaco - Vadim Vasilyev...



Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni.
Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Jakaya Mrisho Kikwete
alipowasili wilayani humo akiwa katika ziara yake ya siku sita Mkoani
Kagera Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati...
Subscribe to:
Posts (Atom)