Saturday, March 15, 2014

Habari zilizotufikia katika chumba chetu cha habari  kwamba basi la kampuni ya Japanese Express linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, limetumbukia kwenye mto eneo la Lwamadovela wilayani Makete Basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kuja Makete na ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jana jioni kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo Wapo baadhi ya abiria...
Meneja wa Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Steven Kazidi (kushoto) akimuinua mkono juu kwa ishara ya kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo (CCM),Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa mkutano wa kwanza wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Matipwili,Saadani Wilayani Bagamoyo jana Machi 14,2014. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi...
  Kupitia You heard ya XXL Clouds FM March 14 2014 zilitoka stori kwamba Wema Sepetu amekwenda na kumfanyia fujo Diamond Platnumz studio. Hiyo ilitokana na kuona video ya Diamond akiwa na Victoria Kimani studio, msichana ambae amewahi kutajwa kuwa mapenzini nae. Baada ya yaliyotokea jana, Wema ameandika haya maneno hapa chini baada ya kuweka hiyo picha hapo j...
Nikica Jelavic wa Hull City akivutwa jezi na kuangushwa chini na Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier mtanange kati ya Hull City na Manchester City uliochezewa katika uwanja wa  KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza na mchezaji. Kompany alionyeshwa kadi nyekundu dakika za mwanzo wa mchezo Vincent Kompany wa Manchester...
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta akila kiapo mbele ya  Katibu wa Bunge hilo Bw. Yahya Khamis Hamad, wakati wa hafla ya kuwaapisha wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.Kulia ni Naibu Katibu wa Bunge Hilo Thomas Kashilila. >Makamu...
Daniel Sturridge akiwa na tuzo ya Mchezaji Bora wa Februari MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya England kwa mwezi Februari, baada ya kufunga mabao matano katika mechi nne. Nyota huyo ameisaidia Liverpool kushinda dhidi ya Swansea na Fulham pamoja na kuitandika mabao 5-1 Arsenal timu hiyo...
...
Nicolas Anelka ametamka kuwa hawezi kuomba msamaha kwa klabu yake ya West Brom juu ya tuhuma za kibaguzi anazoshutumiwa. Tuhuma alizopewa Anelka na klabu yake ni kuhusiana na aina ya ushangiliaji ambao klabu yake imesema unakashifu na kubagua jamii fulani ya watu. Kutokana na kufanya kitendo hicho, cha ushangiliaji kwa kuweka mkono kifuani kama ambavyo anaonekana kwenye picha, klabu...
Colonel Do Duc Minh (far left) Vietnam Air Force's 370 Division's Chief of Staff, points at a map as he speaks to reporters about search flights aimed at finding the missing Malaysia Airlines plane Marekani pia imejiunga na juhudi za kuitafuta Ndege ya Malaysia Wiki moja tangu ndege ya Malaysia iliyokuwa imewabeba abiria 239 kutoweka, juhudi za kimataifa kuisaka ndege...
  Dalili ya mvua huwa ni mawingu au Radi, SUPASTAA anayeunda kundi la Psquare, Paul Okoye, pacha wa Peter, ameachia picha za kutosha za pre wedding akiwa na mchumba ake wa muda mrefu anayeitwa Anita na hivyo kuashiria kuwa ataingia kwenye chama cha Wanandoa kipindi sio kirefu kama alivyofanya pacha wake .”My everything……….gonna fly straight to the sky. Just me & you. Love u...

waliotembelea blog