Xavi akiwa na mkewe Nuria Cunillera
Htimaye kiungo wa Klabu ya Barcelona ya Hispania Xavi Hernandez ameamua
kuachana na ukapela kwa kumuoa mchumba wake wa muda mrefu Nuria Cunillera,
ndoa...
Ray mtayarishaji na muongozaji wa filamu Swahiliwood.
MWIGIZAJI,
mtayarishaji na muongozaji mahiri wa filamu Swahiliwood Vincent Kigosi
‘Ray the Greatest’ hivi karibuni aliangusha bonge la sherehe ya siku
yake ya kuzaliwa na kuwakaribishwa rafiki zake na wadau wa filamu katika
moja ya Hotel, siku hiyo pia aliweza kumkumbuka swahiba yake marehemu
Kanumba na kuhisi uenda angekuwepo siku hiyo.
.
“Ni
...
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) inayoendeshwa na mapaparazi wa Global
Publishers inazidi kufichua ‘madudu’ kwenye jamii, safari hii imekutana
na machangu ambao wamecharuka kuendeleza biashara hiyo kwa kisingizio
cha kutafuta fedha za kununulia futari.
‘Askari’ wa OFM, wiki iliyopita alifanya uchunguzi katika viunga
mbalimbali maarufu kwa biashara hiyo na kukuta machangudoa...
Baadhi ya mashabiki wakiwa na furaha kuburudishwa na mwanamuziki Jose Chameleone.Erica Lulakwa (TZ), a Singer and SongWriter based in San Francisco CaliforniaErica Lulakwa (TZ akicheza na mashabiki wake Oakland
...
STAA wa sinema za nyumbani, Jacqueline Wolper amemtemea cheche msanii
mwenzake, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ kuwa anatafuta ustaa (kiki) kupitia
jina lake
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti cha Stori 3, Wolper alisema
anamshangaa msanii huyo kumsemea vibaya, kutoa lugha ya matusi mtandaoni
bila sababu za msingi
“Namshangaa Baby Madaha kwa aliyoyasema kuhusu mimi, anatafuta kiki.
Watu...
MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya unazidi kupukutika Bongo kufuatia
madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa kujishughulisha na ubebaji
‘punda’ wa biashara hiyo haramu, Ijumaa Wikienda lina mtiririko wote.
Hivi karibuni, Video Queen wa Wimbo wa Masogange, Agnes Gerald
‘Masogange’ amedaiwa kunaswa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ akiwa na kilo
mia moja na hamsini za unga unaoaminika ni sehemu...