Tuesday, October 29, 2013

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho Nani kuibuka kidedea leo? kati ya Jose Mourinho na Arsene Wenger - Capital One Cup Wanaweza kupanga hivi!! Enzi hizo mwaka 2005 Mwaka 2007 Fainali kombe la Carling RAUNDI ya 4 ya CAPITAL ONE CUP, Kesho mitanange Baadhi kupigwa Mechi kubwa na yenye mvuto mkubwa ni ile itakayochezwa Uwanja wa Emirates kati ya Wenyeji Arsenal na Chelsea.Usiku huo huo,...
Miliki wa kampuni ya Jerusalemu filim ambae pia ni msanii na director mwenye majina mengi ila kwasasa muite jb ameonyesha jeuri ya pesa na kukua kwa soko lake mara baada ya kuwakutanisha mastar kibao katika filamu yake ya mikono salama inayoongozwa na Director Adamu philip kuambiana. Akipiga story na thesuperstars mapema hii leo jb ameseama ameamua kufanya filamu hiyo ili kuleta ladha...

waliotembelea blog