Lionel Messi akishangilia bao lake la pekee usiku huu dhidi ya Atletico Madrid katika kipindi cha pili.Kikosi cha BarcelonaVIKOSI:Atletico Madrid: Oblak, Juanfran, Godín, Giménez, Siqueira, Mario Suarez, Gabi, Koke, Arda, Griezmann, Torres. Barcelona: Bravo, Alves, Alba, Pique, Mascherano, Rakitic, Busquets, Iniesta, Messi, Neymar and Pedro.
...
Sunday, May 17, 2015


Bony akiwafunga bao Swansea na kufanya 4-2 kwenye Uwanja wa Liberty Kipindi
cha pili dakika ya 74 Yaya Toure alifunga bao la tatu na kufanya 3-2 na
dakika za mwishoni mchezaji wa zamani wa Timu ya Swansea City
anayekipiga kwa sasa katika klabu yake mpya ya Man City Wilfried Bony
akitokea benchi aliwapatia bao la nne dakika ya 90 na mtanange
kumalizika dakika 90 kwa bao 4-2 dhidi ya Wenyeji...


Ander
Herrera dakika ya 30 anaipatia bao la kuongoza United akipata krosi
safi kutoka kwa Ashley Young kama kona na Ander kuumaliika kwa shuti
kali hadi langoni mwa Arsenal na mtanange kwenda mapumziko United
wakiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal.
Dakika ya 82 Tyler Blackett aliyeingia
kipindi cha pili mpira ulipigwa na mchezaji wa Arsenal Theo Walcott
kisha kuutengengua na kujifunga...



DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON
Diamond
Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage
katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye
jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake
walipotembelea Ubalozi huo mjini London.Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za UbaloziWCB ndani ya mjengoMhe...
Subscribe to:
Posts (Atom)