Monday, April 13, 2015

LEO Jumanne Usiku Robo Fainali za UEFA CHAMPIONS LIGI zitaanza kwa Mechi mbili na moja ikiwa huko Jiji la Madrid, Spain ndani ya Estadio Vicente Calderon wakati Atletico Madrid watakapokuwa Wenyeji wa Mahasimu wao Real Madrid.Mechi hii, Dabi ya Madrid, maarufu kama El Derbi Madrileño, ni Marudio ya Fainali ya Msimu uliopita ya UEFA CHAMPIONS LIGI ambayo Real Madrid waliinyuka Atletico...
Wanachama ACT wazalendo la wananchi wa jimbo la Morogoro mjini wakiwa katika mkutano wa ACT wazalendo leo viongozi wa kitaifa wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano wa hadhara jimbo la Morogoro mjini leo Wanachama wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa leo Wananchi wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa leo Afande...
  Raheem Sterling akishangilia bao lake la dakika ya 9 kipindi cha kwanza baada ya kuwa butu katika baadhi ya mechi na kuhusishwa kutaka kuondoka Liverpool..leo hii usiku kawaamsha mashabiki kwenye viti kushangilia bao lake, Newcastle United mtanange huu wameumaliza pungufu uwanjani kwao baada ya mwenzao Sissoko kuoneshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mbaya Lucas. Liverpool Ushindi...
Baada ya ushindi wa magoli 4-2 iliyoupata Manchester United mwishoni mwa wiki uliyopita dhidi ya majirani zao Manchester City katika mchezo wa ligi kuu ya England, meneja wa mashetani wekundu Louis van Gaal amesema ushindi huo ni zawadi tosha kwa mashabiki wa timu hiyo. Katika mchezo huo uliovuta hisia za mashabiki wa timu zote mbili, wageni Man City ndio waliokuwa wa kwanza kundika bao...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. Mtoto Tobias Kallaghe ambaye ni mtanzania anayeishi na wazazi wake nchini Uingereza akisamasasoti nyumbani kwao, eneo la High gate London Aprili 11, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo...

waliotembelea blog