Tuesday, July 29, 2014

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (kulia), akimakabidhi Bendera ya Taifa, mmoja wa wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Chess, Hemed Mlawa (wa pili kushoto), Dar es Salaam leo asubuhi kwa ajili ya kuondoka kesho kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchini Norway. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Spicenet, Vinay Choundry...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika mshikiti wa Maamur...
CRISTIANO Ronaldo ameshinda tuzo ya Goal 50 ya mchezaji bora wa dunia baada ya kuwa na msimu mzuri wa 2013-14.Mshambuliaji huyo ametwaa tuzo hiyo kwa mara ya tatu kama sehemu ya kuheshimu kazi aliyoifanyia Real Madrid kutwaa taji la 10 la ligi ya mabingwa barani Ulaya.Nyota huyo mwenye miaka 29, pia alishinda kombe la mfalme (Copa del Rey) na kufunga magoli 51 katika mashindano yote ya...
Manchester City imetangaza vifaa vyao vipya vya msimu ujao ambavyo vijana wa Manuel Pellegrini watakuwa wakitupia wakati wakijaribu kutetea taji lao la Premier League.Mbingwa hao wameutangaza uzi wa rangi ya buluu iliyo iva kutoka kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike zikiwa zimesalia siku 16 kabla ya uzinduzi wa msimu mpya ambao utatanguliwa na mchezo wa ngao ya jamii dhidi...
KLABU za Jiji la Machester, Mabingwa wa England Manchester City na Manchester United waliovuliwa Ubingwa na City, wanaongoza Makundi ya Mashindano ya International Champions Cup. Upo uwezekano kwao kukutana kwenye Fainali ya Mashindano haya hapo Agosti 4 ikiwa wataendeleza wimbi lao la ushindina hivyo kuhamisha uhondo wa Dabi ya Manchester huko Sun Life Stadium, Miami, Florida.Man United,...
JOSE Mourinho amefurahishwa na urejeo wa Didier Drogba na anatarajia mshambuliaji huyo ataisaidia Chelsea msimu uliopita.  Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alisaini mkataba wa mwaka mmoja ijumaa ya wiki iliopita kufuatia mkataba wake kumalizika na klabu ya Galatasaray ya Uturiki.  Drogba alifurahia miaka nane akiwa darajani, kuanzia mwaka 2004 hadi 2012.  Nyota huyo...
KATIKA historia yake, klabu ya Simba haijawahi kuwa na uwanja wake wa mazoezi, hivyo kujikuta anahangaika miaka nenda rudi. Lakini kwasasa unaweza kusema imedhamiria kujenga uwanja wa mazoezi maeneo ya Bunju jijini Dar es salaam. Ismail Aden Rage alipokaribia kumaliza muda wake alianza mchakato wa kujenga uwanja wa Bunju akisema wanataka kupata sehemu ya kufanyia mazoezi. Pia...
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata...

waliotembelea blog