Saturday, December 28, 2013

RATIBA MECHI ZIJAZO: JUMAMOSI,JUMAPILI NA JUMATATU Jumamosi Desemba 28 15:45 West Ham v West Brom 18:00 Aston Villa v Swansea 18:00 Hull v Fulham 18:00 Man City v Crystal Palace 18:00 Norwich v Man United 20:30 Cardiff v Sunderland Jumapili Desemba 29 16:30 Everton v Southampton 16:30 Newcastle v Arsenal 19:00 Chelsea v Liverpool 19:00 Tottenham v Stoke Jumatano Januari 1 15:45 Swansea v...
  HUKU mchumba’ke, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akifungasha virago kurejea kwao, mzee mzima Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametangaza kumuoa Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’(kushoto) na Penniel Mungilwa ‘Penny’ wakiongea jambo enzi za mapenzi yao. Ishu hiyo ilijiri ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar ambapo mkali...

waliotembelea blog