
Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food
Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba
6, 2016. Waziri
wa viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na
katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni
ya Bakhressa...