Wednesday, April 15, 2015

Mabingwa Watetezi wa International Champions Cup, Manchester United, Mwezi Julai huko USA watakuwa na kazi ya kutetea Taji lao walilotwaa Mwaka Jana wakati Mashindano haya yatakapochezwa tena yakishirikisha Vigogo wa Ulaya. Zipo Timu 10, wakiwemo Mabingwa Man United, ambazo zitashiriki na nazo ni Barcelona, Chelsea, PSG, Porto na Fiorentina, kutoka Ulaya pamoja na Klabu ya Mexico, Club...
Kipindi cha pili dakika ya 67 Luis Suarez alipenyeza kwa mapeki n kuachia shuti na kumfunga kipa wa PSG baada ya kupenyezewa mpira na Martín Montoya na kufanya 2-0 dhidi Bayern Munich ya Ujerumani. 3-1...suarez akipongezwa baada ya kufunga bao mbili peke yake usiku huuBao la Tatu lilifungwa tena na Luis Suarez dakika ya 78 na kufanya 3-0. Bao la PSG lilifungwa na Gregory Van...
FC Porto walipata bao la kwanza kupitia kwa Ricardo Quaresma dakika ya 3 kwa mkwaju wa penati na bao la pili dakika ya 10 kupitia kwa mchezaji huyo huyo Ricardo Quaresma. Bao la Bayern Munich lilifungwa na Thiago Alcantara dakika ya 28 kipindi hicho cha kwanza na kufanya 2-1.  Kipindi cha pili Jackson Martínez wa FC Porto alipewa pasi safi na Alex Sandro na kukatiza kwa mabeki...
Kocha wa Klabu ya Bundesliga ya Germany Borussia Dortmund, Jurgen Klopp, ametangaza kuachana na Klabu hiyo inayosuasua Msimu huu.Kocha huyo ambae Mkataba wake ulikuwa unamalizika 2018 amesema ataondoka Klabuni hapo mwishoni mwa Msimu. Klopp, mwenyevMiaka 48, alijiunga na Dortmund Mwaka 2008 na kuiwezesha kutwaa Ubingwa wa Bundesliga Mwaka 2011 na 2012 ikiwa na pamoja na kutwaa Dabo akiweka...
...
Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu Vodacom, Azam FC, Leo wako huko Tanga kucheza na Mgambo JKT Uwanjani Mkwakwani wakiwania ushindi na kupunguza pengo la Pointi 8 kati yao na Vinara Yanga. Yanga wanaongoza Ligi wakiwa na Pointi 46 wakifuatiwa na Azam FC, waliocheza Mechi 1 pungufu, wakiwa na Pointi 38. Wikiendi iliyopita, Azam FC walipata pigo la kutetea Ubingwa wao baada ya kutoka Sare ya 1-1...
Baada ya Mechi za kwanza za Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONS LIGI kuchezwa Jumanne Usiku kwa Mechi mbili, Jumatano Usiku pia zipo Mechi nyingine mbili. Huko Uwanja wa Parc des Princes, Paris, France, Paris Saint-Germain wataivaa FC Barcelona. VIKOSI VINATARAJIWA: PSG: Sirigu; Van der Wiel, Marquinhos, Thiago Silva, Maxwell; Matuidi, Cabaye, Rabiot; Pastore, Lavezzi, Cavani. -Hawatacheza:...
Linkwithin Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika MakaoMakuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo. Mkurugenzi...

waliotembelea blog