Wednesday, November 26, 2014

Luis Suárez ndie aliyeanza kuliona lango la Apoel Nicosia kipindi cha kwanza dakika 27 kisha bao zilizofuata ni za supa Staa Lionel Messi akifunga Hat-trick usiku huu na Kuvunja Historia bao pili akilifunga dakika ya 38, Kipindi cha pili alifunga bao mbili dakika ya 58 na dakika ya lala salama dakika ya 87.Messiakifikisha bao 74 usiku huu na kuvunja rekodi ya RaulMessi akishangilia bao...
Wachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04Kocha Roberto Di Matheo wa SchalkeFundi na mbwembwe zake!!Kikosi kilichoanza cha Chelsea John Terry alifunga bao la mapema dakika ya 2 na kuifanya Chelsea kuongeza mabao zaidi kwa timu inayofundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matheo. Willian alipachika bao la pili dakika ya 29 na bao la Tatu lilikuwa la...
Sergio Agüero alifunga bao zote tatu na kuipa ushindi Man City dhidi ya Bayern Munich ambao walikuwa wanacheza Mtu 10 Uwanjani. Ushindi huu unawatoa mkiani na kupanda kwa kutimiza pointi tano kwenye kundi lao E. City sasa Kukipiga sasa Roma huku Bayern wakikipiga na CSKA Moscow mchezo ujao.3-2 Hetitriki ya Sergio Aguero imeweka hai matumaini ya Man City kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano...

waliotembelea blog