VfL Wolfsburg 0 vs 2 Napoli Bao zimefungwa Gonzalo Higuaín dakika ya 15 na Marek Hamsik dakika 23.
Kipindi cha kwanza kilimalizika Napoli
wakiongoza kwa bao 2-0 dhidi ya VfL Wolfsburg. Kipindi cha pili Napoli
walifanikiwa kupata bao la tatu kupitia kwa Marek Hamsik dakika ya 64
na kufanya 3-0 Wolfsburg ambao walikuwa kwao kwenye mchezo huu. Bao la
nne lilifungwa...
Thursday, April 16, 2015


Diego Costa na Eden Hazard wameiongoza
Chelsea kufikia ilipo mpaka sasa Kileleni kwenye Ligi Kuu England BPL Na
sasa wapo kwenye Listi ya Wachezaji 6 wanaowania Tuzo hiyo.Straika
wa England Harry Kane mwenye goli 19 mpaka sasa, Listi hiyo inahusishwa
pia kuwemo Philippe Coutinho, Kipa wa Manchester United David de Gea na
Mchezaji wa Arsenal fowadi Alexis Sanchez.
Luis Suarez ndie aliyekuwa...


Yanga,
Wawakilishi pekee wa Tanzania waliobakia kwenye michuano ya Klabu
Barani Afrika, Jumamosi wapo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
kucheza na Etoile du Sahel ya Tunisia katika Mechi ya Kwanza ya Raundi
ya Mtoano ya Timu 16 ya Mashindano ya CAF ya Kombe la Shirikisho.Yanga imetua hatua hii baada ya kuzibwaga BDF XI ya Botswana na FC Platinum ya Zimbabwe katika Raundi za awali. Akizungumzia
...


Balozi Henry Mdimu akiongea na vyombo vya habari Taasisi
isiyo ya ki serikali ya Imetosha Foundation inayopinga unyanyapaa,
ukatili na mauaji dhidi ya watu wenye ualbino kwa njia ya elimu,
inatarajia kutuma ujumbe mzito kanda ya ziwa hapo kesho kwa maandalizi
ya ujio wa timu nzima ya taasisi hiyo iliyojikita kwenye kubadilisha
mtazamo (mind set) wa watu juu ya janga hili. Ujumbe huo...


EUROPA
LIGI, Mashindano makubwa ya pili kwa Klabu Barani Ulaya, Alhamisi
yanaingia hatua za Robo Fainali kwa Mechi zake za kwanza kuchezwa. Kama
ilivyo kwa UEFA CHAMPIONS LIGI, England haina hata Timu moja kwenye
hatua hii baada ya Everton na Tottenham kutupwa nje hatua iliyopita.Mabingwa
Watetezi, Sevilla ya Spain, bado wamo kwenye Mashindano haya na
wanaanza Nyumbani katika Mechi na...
Subscribe to:
Posts (Atom)