Wababe msimu wa 2013DROO ya kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika huko Malabo Nchini Equatorial Guinea.
Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A
pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina Faso na wao ndio
watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya Congo-Brazzaville. Mechi ya Fainali ya Mashindano...