Wednesday, October 16, 2013

Rais Dkt.Jakaya Kikwete akisalimiana na Tundu Lissu Chadema. Nyuma ni James Mbatia NCCR Mageuzi.  Rais Kikwete alionekana mwenye furaha tele wakati alipokutana na viongozi wa vyama hivyo na kivutio zaidi ilikuwa pale alipokutana na Mnadhimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani, Tundu Lissu. Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa vyama vya siasa vya CCM, Chadema, CUF, NCCR- Mageuzi,...
  Muziki wa bongoflava sasa hivi umekua kazi rasmi na vijana wengi wanabadilisha maisha yao na kuyaweka kwenye level kubwa zaidi ya kiuchumi kutokana tu na show, mauzo ya nyimbo kwenye simu za mkononi pamoja na biashara nyingine. Rich Mavoko yule staa wa ‘will you marry me’ ameongea na millardayo na kusema “Nyumba ipo Morogoro kwetu lakini baada ya kuweka wazi hizi picha mama yangu aliniambia...

waliotembelea blog