Tuesday, February 24, 2015

LEO JUMANNE, Februari 24, Uwanja wa Etihad Jijini Manchester utalipuka kwa mpambano mkali wa Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONS LIGI kati ya Manchester City na FC Barcelona. Mechi hii ni Marudio ya Mechi ya Msimu uliopita ya Raundi hii hii ya Mashindano haya wakati Man City ilipotolewa na Barcelona kwa Jumla ya Mabao 4-1 katika Mechi mbili ambazo kila Mechi...
NAHODHA wa Manchester United ametamka kuwa baada ya kufungwa na Swansea City basi hawana budi kuifunga Sunderland Jumamosi la sivyo wataikosa UEFA CHAMPIONS LIGI. Jumamosi, wakicheza huko Liberty Stadium, Man United waliongoza Bao 1-0 lakini wakairuhusu Swansea kuwachapa Bao 2-1 kikiwa ni kipigo chao cha pili katika Mechi 20 zilizopita chini ya Meneja Louis van Gaal. Ingawa bado zipo Mechi...

waliotembelea blog