Xabi Alonso, Kiungo wa Real Madrid, ametangaza kustaafu kuichezea Nchi yake Spain.Alonso,
Miaka 32, amekuwa mmoja wa kiini cha mafaniko ya Spain iliyotwaa EURO
2008 na EURO 2012 pamoja na Kombe la Dunia huko Afrika Kusini Mwaka
2010.Juzi Alonso aliichezea Spain Mechi yake ya 112 ilipofungwa 2-0
na Chile kwenye Mechi Kundi B na kutupwa nje ya Fainali za Kombe la
Dunia huko Brazil.Kwenye...
Sunday, June 22, 2014


WORLD CUP 2014: NIGERIA 1 vs BOSNIA-HERZEGOVINA 0, PETER ODEMWINGIE AWAPATIA USHINDI NIGERIA..
1-0,
Peter Odemwingie kushoto akishangilia bao lake lililotosha kuwapatia
alama 3 muhimu na kuwawezesha kuwa na jumala ya pointi 4 na wako nafasi
ya pili kwenye kundi lao na mtanange ujao kwa Nigeria ni jumatano tarehe
25 saa moja kamili.Peter
Odemwingie dakika ya 29 aliifungia bao timu yake baada...
Subscribe to:
Posts (Atom)