
1-0,
Peter Odemwingie kushoto akishangilia bao lake lililotosha kuwapatia
alama 3 muhimu na kuwawezesha kuwa na jumala ya pointi 4 na wako nafasi
ya pili kwenye kundi lao na mtanange ujao kwa Nigeria ni jumatano tarehe
25 saa moja kamili.
Peter
Odemwingie dakika ya 29 aliifungia bao timu yake baada ya kazi nzuri ya
Emenike kwa kuwakacha mabeki wa Bosnia na kumpa pasi Odemwingie na
kufunga bao huku wachezaji wa Bosnia wakishindwa kuamini bao hilo.

Mchezaji
wa Bosnia midfielder Izet Hajrovic akipitwa na mchezaji wa Nigeria
difenda Juwon Oshaniwa na kwenda eneo la hatari la kipa na kugawa pasi
kwa Peter Odemwingie
0 maoni:
Post a Comment