
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro Premium Lager, imewasili leo asubuhi Visiwani Zanzibar
tayari kwa maandalizi ya mchezo wa siku ya jumamosi dhidi ya timu ya
Uganda kuwania kufuzu kwa CHAN 2016.Msafara wa Taifa Stars
unajumuisha wachezaji 21 na benchi la ufundi 7 ambao wamefikia katika
hoteli ya Nungwi Inn, mchezo dhid ya Uganda utachezwa katika...