Kocha aliyesitishiwa mkataba Ernie Brandts
Uongozi
wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya
thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha
mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu. Maamuzi hayo
yanafuatia muenendo wa matokeo mabaya katika michezo iliyopita ya Ligi
Kuu, kirafiki na bonanza la Nani Mtani Jembe dhidi ya Simba SC mwishoni...
Monday, December 23, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)