Sunday, November 29, 2015

Bale akipongezwa kwa bao lake la kwanza kwa Real Bale na Cristiano RonaldowakipongezanaRonaldo akishangilia PatashikaVuta nikuvut...
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) leo hii imekabidhiwa bendera ya Taifa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel katika hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam. Akiongea wakati wa kukabidhi bendera kwa timu hiyo ya vijana, Ole Gabriel amewashukuru TFF kwa kuwekeza katika soka la vijana, na kusema...
Tottenham wameikosa nafasi ya kupanda kwenye Ligi Kuu England na kukamata Nafasi ya 4 baada ya kutoka 0-0 na Chelsea kwenye Mechi ya Dabi ya London iliyochezwa White Hart Lane.Sare hii imewabakisha Tottenham Nafasi ya 5 na kuwaweka Chelsea Nafasi ya 14. Katika Kipindi cha Kwanza, Kipa wa Chelsea, Asmir Begovic, ndie alisumbuka sana kwa kuokoa michomo kadhaa ikiwepo ile ya out Son Heung-min,...
Schweinsteiger aliisawazishia bao Man United katika dakika ya 45 kipindi cha kwanza na kwenda mapumziko sare ya 1-1. Kipindi cha kwanza dakika ya 24 Vardy anaipa bao la kuongoza Timu yake Leicester City na kuongoza bao 1-0 dhidi ya Man United.VIKOSI:Leicester City wanaoanza XI: Schmeichel, Simpson, Morgan, Huth, Fuchs, Mahrez, Kante, Drinkwater, Albrighton, Okazaki, VardyAkiba: De Laet, King,...

waliotembelea blog