WENYEJI
Chile wametinga fainali ya Copa America 2015 kufuatia ushindi wa mabao
2-1 dhidi ya Peru usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Taifa mjini Santiago:
Kwa ushindi huo, fainali Chile sasa itakutana na mshindi kati ya Argentina na Paraguay zinazomenyana usiku wa kuamkia kesho.
Eduardo Vargas aliifungia bao la kwanza akimalizia krosi ya Alexis Sanchez dakika ya 42.
Carlos Zambrano alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kumchezea rafu Charles Aranguiz.
Bao la kujifunga la Gary Medel dakika ya 60 liliwapa matumaini wageni, kabla ya Vargas kuifungia la ushidi Chile dakika ya 64.
Kikosi
cha Chile kilikuwa; Bravo, Isla, Medel, Rojas, Albornoz/Mena dk46,
Vidal, Diaz/D Pizarro dk46, Aranguiz, Valdivia/Gutierrez dk86, E Vargas
na Sanchez.
Peru;
Gallese, Advincula, Zambrano, Ascues, Vargas, Carrillo/C Pizarro dk73,
Ballon, Lobaton/Yotun dk73, Cueva/Ramos dk27, Farfan na Guerrero.
The former QPR loanee struck a superb winner into the top corner from well outside the box at the National Stadium
Peru goalkeeper Pedro Gallese could do nothing about Vargas' strike but the 10-man visitors put up a fight in Santiago
Carlos Zambrano caught Chile midfielder Charles Aranguiz on the back with his studs in the first half in Santiago
The Peruvian defender was booked earlier on in the contest but was still shown a straight red card by referee Jose Argote
0 maoni:
Post a Comment