Tuesday, May 6, 2014

Miss Dar City Center wakichezo show wakati wa onesho maalum la kuwatambulisha lililofanyika juzi jijini Dar es Salaam katika kiota cha Escape One. Miss Dar City Center wakipozi jukwaani wakati wa kuwatambulisha lililofanyika juzi jijini Dar es Salaam katika kiota cha Escape One. Miss Ubungo nao walikuwepo kuwasindikiza wenzao wa Dar City Center. Miss Ukonga 2014 nao waliwasindikiza...
Mchezaji Chipukizi wa miaka 18 James Anthony Wilson aliifungia bao United katika dakika ya 31 baada ya Manchester United kupata frii kiki ambayo ilipigwa na Marouane Fellaini na hatimaye Dogo huyo Wilson kuachia shuti kali ambalo limezama hadi langoni mwa timu ya Hull City.Bao!!!!!!James Anthony Wilson alivyoipachikia bao United na kufanya 1-0 kipindi cha kwanza1-0 bao la Wilson. Bao pekee...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeazimia kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund).Uamuzi wa kuanzisha mfuko huo umepitishwa katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya TFF iliyokutana Mei 3 mwaka huu jijini Dar es Salaam ambapo madhumuni yake ni kutafuta vyanzo vya rasilimali za kuendeleza programu za mpira wa miguu Tanzania.Mfuko huo...
Nemanja Vidic akipata picha ya pamoja na  Sir Bobby Charlton kwenye uwanja wa  Old Trafford leo wakati Man United walipoikaribisha timu ya Hull City Kwaheri kijana!!! Nemanja anatimkia kucheza soka lake la mwisho huko Inter Milan  Vidic na baadhi ya wachezaji wa United Vidic alianzia benchi kwenye mtanange wao na  Hull City ambapo Vidic alichukua nafasi ya  Phil...
Mtaalamu wa nyasi bandia kutoka Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ian McClements amewasili Bukoba leo hii Asubuhi kwa Ndege ya kukodi.  McClements akiwa hapa Bukoba amekagua Uwanja wa Kaitaba, na baadae amekwea tena ndege yake kuelekea  jijini Mwanza kukagua Uwanja wa Nyamagana. Viwanja hivi vinawekwa nyasi bandia...

waliotembelea blog